Pages

KITABU: MAFANIKIO YA BIASHARA YA DUKA LA REJAREJA

KITABU CHA DUKA LA REJAREJA

Hiki ni moja kati ya vitabu vyangu 3 visivyochuja kamwe, 3TIMELESS CLASSIC BOOKS OF ALL TIMES, sas hivi kimeongezeka na kingine kimoja na kuwa 4, vingine ni 1.MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI, 2. MIFEREJI 7 YA PESA na 4. Tafsiri kwa Kiswahili ya THINK & GROW RICH ingawa sijakiandika mimi nimekitafsiri tu.

Sifa kubwa ya vitabu hivi 4 ni, kuwa havipitwi na wakati, maudhui yake ni ya kudumu kama umuhimu wa biashara nao ulivyokuwa wa kudumu, leo unafanya biashara lakini mjukuu wako naye atatafuta maarifa hayahaya kufanya naye biashara.


Kakudanganya nani Duka hailipi?

Utaambiwa oo.......chumaulete wengi......sijui mambo chungu nzima lakini bado wapo wanaonunua viwanja, kujenga majumba, kusomesha watoto na hata kupata mitaji ya biashara zao kubwa kupitia maduka hayohayo.......


BEI YA KITABU NA NAMNA YA KUKIPATA

1. NAKALA NGUMU (HARDCOPY)                  

Ukiwa Dar es salaam tunakuletea mpaka ulipo kwa Tsh. 15,000/=

Mikoa mingine yote na nchi za jirani tunatuma kwa njia ya Mabasi kwa Tsh. 25,000/=

2. NAKALA LAINI (SOFTCOPY)

Tunakutumia popote pale ulipo Duniani kupitia simu au kompyuta yako kwa Tsh. 6,000/=  

Lipa kupitia namba zetu, 0712202244 au 0765553030  Jina ni Peter Augustinio Tarimo, kisha tuwasiliane kwa meseji au simu nikutumie muda huohuo.

SIMU/WATSAP: 0712202244  au 0765553030

Peter Augustino

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment