Pages

MCHANGANUO WA BIASHARA: SHULE YA CHEKECHEA (Day Care Centre)

Chei chei Day Care CentreMuhtasari Tendaji

Cheichei  Day Care Centre ni Kituo  kitakachokuwa  kikijihusisha  na uangalizi  na ufundishaji wa watoto wenye umri kuanzia   mika 3 hadi mitano. Kutokana na mfumo wa maisha siku hizi kubadilika tofauti na miaka  iliyopita, familia nyingi hasa hasa maeneo ya mijini baba na mama wote utakuta wanafanya kazi hivyo kuwa vigumu kukaa na watoto wao wadogo wakiwaangalia kuanzia asubuhi mpaka jioni. Cheichei watalenga familia za namna hii............................................

Mchanganuo huu kamili wenye vipengele vyote kuanzia Muhtasari mpaka makisio ya hesabu zote 3, unaweza ukaupata kwenye kitabu chetu cha MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI au pia unaweza kuwasiliana na sisi tukakutumia wenyewe kama ulivyo kwa Bei ya shilingi, 10,000/=

Peter Augustino

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment