Pages

THINK & GROW RICH - SWAHILI EDITION (FIKIRI & UTAJIRIKE)

Fikiri & Uajirike (Think & Grow Rich)

Ingawa sijakiandika mimi nimekitafsiri, hiki ni moja kati ya vile vitabu mimi binafsi nilivibatiza 4TIMELESS CLASSIC BOOKS OF ALL TIMES, kwamba havichuji kamwe, vingine ni MIFEREJI 7 YA PESA, DUKA LA REJAREJA na MICHANGANUO YA BIASHARA. Ni kama dhahabu au almasi ambayo kadri muda unavyopita ndivyo nayo inavyozidi kung’ara.

Mwandishi Napoleon Hill katika kazi yake hii kubwa kabisa kuwahi kuandikwa na mtu yeyote yule karne ya 20, aliwahoji Matajiri na watu maarufu zaidi ya 500 kwa takriban miaka ipatayo 25 ili kupata SIRI iliyowafanya waweze kupata mafanikio na utajiri waliokuwa nao. Hatimaye aliweza kuipata na kuiweka ndani ya kitabu hiki.

Sipendi niongee mengi kwani kitabu chenyewe kitazungumza kila kitu.

BEI NA JINSI YA KUKIPATA


1. NAKALA NGUMU (HARDCOPY)

Ukiwa Dar es salaam tunakuletea mpaka ulipo kwa Tsh. 27,000/=

Mikoa mingine na nchi jirani tunatuma kwa njia ya Mabasi kwa Tsh. 35,000/=

Mawasiliano, simu/watsap: 0765553030  au  0712202244


2. NAKALA LAINI (SOFTCOPY)

BOFYA Kiungo kifuatacho kuingia mtandao wa GETVALUE na utaweza kununua pale kwa kutumia mitandao ya simu kisha uweke katika smartphone yako Application ya GETVALUE kufungua kitabu chako.

Ukitaka maelekezo ya namna ya kununua kitabu GETVALUE unaweza kutembelea Utube kutazama video yao hii au pia ukafungua makala hii ifuatayo katika blog ya jifunzeujasiriamali, jinsi ya kununua kitabu cha think & Grow Rich-swahili katika mtandao wa Getvalue kwa kutumia mitandao ya simu.

Peter Augustino

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment