Pages

KITABU: KANUNI YA KUJIFUNZA ELIMU YA PESA NA MAFANIKIO


KITABU CHA ELIMU YA FEDHA & MAFANIKIO
Kitabu hiki kwa muda mrefu tumekuwa tukikitoa bure kwa wale wanaojiunga na masomo yetu ya E-mail lakini sasa kitaanza kuuzwa pia kwa wale wasiojiunga. Kama kichwa kinavyoeleza kitabu kinazungumzia ni kwanini watu wengi licha ya kujifunza elimu ya mafanikio lakini bado mafanikio wanayasikia tu na si kuyapata. Kinatoa pia suluhisho la tatizo hili kwa kupendekeza Kanuni iliyobuniwa na mwandishi mwenyewe wa kitabu hiki.

BEI YA KITABU HIKI  NI TSH. 5,000/=

Lipia kwa namba; 0765553030 au 0712202244


Nikutumie kwenye simu au kompyuta yako sasa hivi

Jina ni: Peter Augustinio Tarimo


Peter Augustino

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment