Pages

KITABU: MIFEREJI 7 YA PESA NA SIRI MATAJIRI WASIYOPENDA KUITOA

Kitabu: Mifereji 7 ya pesa

Hiki ni moja kati ya vitabu vyangu 3 visivyochuja kamwe, 3TIMELESS CLASSIC BOOKS OF ALL TIMES, sas hivi kimeongezeka kingine kimoja na kuwa 4, vingine ni 1.MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI, 2. MAFANIKIO YA BIASHARA YA DUKA LA REJAREJA na 4. Tafsiri kwa Kiswahili ya THINK & GROW RICH. 

Sifa kubwa ya vitabu hivi 4, huwa havipitwi na muda, maudhui yake ni ya kudumu kama umuhimu wa biashara nao ulivyokuwa wa kudumu, leo unafanya biashara lakini mjukuu wako naye atatafuta maarifa hayahaya kufanya naye biashara.

MIFEREJI 7 Kimewahamasisha watu wengi waliokisoma na kitaendelea kufanya hivyo miaka na miaka ijayo.

BEI YA KITABU HIKI  NI TSH. 3,000/= naka-laini

Lipia kwa namba; 0765553030 au 0712202244

Nikutumie kwenye simu au kompyuta yako sasa hivi

Jina ni: Peter Augustinio Tarimo

 

Peter Augustino

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment