Pages

KITABU: MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI

Michanganuo ya biashara & ujasiriamali

This is one of my Masterpieces, the greatest of all books i have titled so far. Within 428 pages you will find everything an aspiring entrepreneur needs to launch and run a successful business. 

Business Planning means you have to brainstorm every aspect of a business before you do it, it’s like you are travelling a whole journey before doing it physically, on the way you discover many roadblocks that might stop you during your real journey.

Plus almost every other essential entrepreneur subject taught in schools and colleges, the book is like an ocean where someone can find every thing. 


Hiki ni mojawapo ya Vitabu vyangu bora zaidi miongoni mwa vitabu nilivyowahi kutunga mpaka sasa hivi. Ndani ya kurasa 428 utapata kila kitu ambacho mjasiriamali  anahitaji ili kuanzisha au kutimiza biashara yenye mafanikio.

Mpango wa Biashara maana yake ni kwamba, unapaswa kutafakari kila kipengele cha biashara yako akilini kabla ya kuifanya kiuhalisia, ni kama vile unasafiri safari nzima kinjozi kabla ya kuifanya kweli, njiani unagundua vizuizi vingi ambavyo vingeliweza kuja kukuzuia wakati wa safari yako halisi.

Pamoja na karibu masomo mengine yote muhimu ya Ujasiriamali yanayofunzwa mashuleni na vyuoni, kitabu hiki ni kama bahari ambapo mtu anaweza kupata kila kitu sehemu moja.

BEI NA JINSI YA KUKIPATA

1. NAKALA NGUMU (HARDCOPY)

Ukiwa Dar es salaa tutakuletea mpaka pale ulipo kwa shilingi 30,000/=

Mikoa mingine yote na nchi za jirani tunatuma kwa njia ya Mabasi kwa shilingi 38,000/=

2. NAKALA LAINI (SOFTCOPY)

Ukiwa popote pale Duniani tunakutumia kwenye Simu au Kompyuta yako kwa shilingi 10,000/=

MAWASILIANO

Simu /Whatsapp: 0765553030 au  0712202244

Jina: Peter Augustino Tarimo 

Peter Augustino

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment