Pages

MCHANGANUO WA BIASHARA YA UTENGENEZAJI SABUNI ZA VIPANDE

Muhtasari.

Takatisha Soaps & Detergents ni kampuni itakayotengeneza na kuuza bidhaa za usafi hususan sabuni ambazo ni tofauti na zile za kawaida zilizozoeleka madukani. Sabuni hizo zitakuwa ni za miche kwa ajili ya kufulia pamoja na za kuogea zenye viungo vya miti ya asili yenye dawa na harufu nzuri ya kuvutia.Biashara itamilikiwa kwa ubia kati ya Bi Clara Stanslaus pamoja mwanaye Suzane Stanslaus.............................................


Kupata Mchanganuo huu mzima, jipatie kitabu cha MICHANGANUO YA BISAHARA NA UJASIRIAMALI au unaweza kuwasiliana na sisi kwa namba zifuatazo;

Simu / Whatsapp: 0765553030 / 0712202244


Peter Augustino

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment