Pages

MCHANGANUO WA BIASHARA: KIWANDA CHA UNGA WA DONA (Usado Milling)

Kiwanda cha unga wa dona

MUHTASARI TENDAJI

USADO Milling ni kampuni mpya ya ubia wa watu wawili itakayojihusisha na usagishaji, ufungashaji na uuzaji wa bidhaa za nafaka zisizokobolewa hususani Dona. Dhamira yetu kuu ni kupunguza magonjwa ya tabia kwa watu hasa wale waishio katika miji ya Dar es salaam na Pwani. Malengo ya USADO ni kuwa na duka kubwa la jumla na rejareja eneo la Mbezi mwisho ndani ya miezi 6 tu ya mwanzo, kununua mifuko maalumu ya kuhifadhia nafaka zisiliwe na wadudu maarufu kama mifuko ya PICKS itakayotosha kuhifadhi mahindi ya miezi 6 pamoja na mtambo wa kisasa wa kuchambulia mahindi kabla ya mwaka wa 3. .................................................................

 

Mchanganuo huu kamili wenye vipengele vyote kuanzia Muhtasari mpaka maisio ya hesabu zote 3, unaweza ukaupata toka kwetu kwa gharama ya shilingui elfu 10,000/=

MAWASILIANO:                                                 

Simu/Whatsapp: 0765553030 / 0712202244


Peter Augustino

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment