Pages

MCHANGANUO WA BIASHARA YA DUKA LA REJAREJA (Msuya Shopping Centre)

Duka la Rejareja (msuya shoping centre)
MUHTASARI TENDAJI

Utangulizi:

Msuya Shop ni duka la rejareja litakalofunguliwa ndani ya kituo kikuu cha mabasi yaendayo mikoani cha Ubungo. Lengo la kufungua duka hili ni kutoa huduma bora ya uuzaji wa bidhaa za rejareja kwa wasafiri pamoja na watu wengine wafanyao shughuli zao katika kituo hiki, vilevile ni kuingizia familia kipato zaidi. ............................................................

Mchanganuo huu kamili wenye vipengele vyote kuanzia Muhtasari mpaka makisio ya hesabu zote 3, unaweza ukaupata kwenye kitabu chetu cha MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI au pia unaweza kuwasiliana na sisi tukakutumia wenyewe kama ulivyo kwa Bei ya shilingi, 10,000/=

Peter Augustino

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment