Huu ni mkusanyiko mwingine tena wa masomo mbalimbali ambayo yalitumwa kwenye group la watsap la MICHANGANUO ONLINE, Masomo haya mengi yanahusiana na Fedha au mzunguko wa fedha. Yanampa msomaji uwezo wa kusimamia na kutumia pesa zake kwa uangalifu kuepuka uhaba wa pesa nyakati ngumu mambo yanapokwenda ndivyosivyo. Biashara nyingi zimekufa si kwa kukosa wateja la hasha bali kwa kukosa mzunguko mzuri wa fedha taslimu.
BEI YA KITABU HIKI NI TSH. 10,000/=
Lipia kwa namba; 0765553030 au 0712202244
Nikutumie kwenye simu au kompyuta yako sasa hivi
Jina ni: Peter Augustinio Tarimo
No comments:
Post a Comment