Pages

MCHANGANUO WA BIASHARA: KIWANDA CHA KUKOBOA MPUNGA (Jukwaa la Wanawake)

Biashara ya kukoboa mpunga

MUHTASARI TENDAJI

Jukwaa la Wanawake wafanyabiashara za mpakani TWC moja kati ya malengo yao makubwa ni kununua mashine ya kukoboa mpunga itakayosaidia kupunguza gharama zilizokuwa zikipunguza faida wanayopata katika biashara yao pamoja na kuunga mkono sera ya serikali ya awamu ya 5 ya kuifanya Tanznia kuwa nchi ya viwanda ifikapo 2025. Wanakadiria kuzalisha na kuuza wastani wa tani 300 za mchele super kwa mwaka. .........................................................

Mchanganuo huu kamili wenye vipengele vyote kuanzia Muhtasari mpaka makisio ya hesabu zote 3, unaweza ukaupata toka kwetu kwa gharama ya shilingui elfu 10,000/=

MAWASILIANO:    

Simu/Whatsapp: 0765553030 / 0712202244

Peter Augustino

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment