Pages

MCHANGANUO WA BIASHARA: KIWANDA CHA TOFALI ZA SARUJI (Kiluvya Bricks)

mchanganuo wa tofali za saruji

        MUHTASARI TENDAJI

Kiluvya Quality Bricks ni kampuni itakayozalisha na kuuza tofali za saruji pamoja na vifaa vingine mbalimbali vya ujenzi vilivyo na ubora wa hali ya juu kwa bei rafiki kwa mteja. Malengo yake makubwa ni pamoja na kufikisha wastani wa mauzo ya shilingi milioni 12 kwa mwezi, kuongeza idadi ya mashine 2 mwaka wa 3 pamoja na kutoa ajira ya kudumu kwa watu watatu...........................................

Mchanganuo huu kamili wenye vipengele vyote kuanzia Muhtasari mpaka makisio ya hesabu zote 3, unaweza ukaupata toka kwetu kwa gharama ya shilingui elfu 10,000/=

MAWASILIANO:    

Simu/Whatsapp: 0765553030 / 0712202244

Peter Augustino

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment