Pages

MCHANGANUO WA BIASHARA, SALUNI YA KIUME (Boys 2 Men)

Saluni ya kiume(Boys 2 men Hair saloon
Muhtasari Tendaji

Boys  to Men  ni saluni  itakayojishughulisha  na unyoaji pamoja na mahitaji yote  ya nywele kwa wanaume, watoto kwa wakubwa. Zipo saluni nyingi za  namna hii katika maeneo ya kariakoo kama vile Agrey Men’s Hair Cutting Saluni, Msimbazi Boys Hair Cutting Saloon na California Barber shop, lakini hawatoi huduma zote muhimu........................................

 

Mchanganuo huu kamili wenye vipengele vyote kuanzia Muhtasari mpaka makisio ya hesabu zote 3, unaweza ukaupata kwenye kitabu chetu cha MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI au pia unaweza kuwasiliana na sisi tukakutumia wenyewe kama ulivyo kwa Bei ya shilingi, 10,000/=

Peter Augustino

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment