Pages

MCHANGANUO WA BIASHARA YA DUKA LA JUMLA (MCD PROVISION STORE)

MCD Provision Store

Muhtasari Tendaji.

Duka la jumla la vinywaji  baridi Malapa Cold Drinks  Provision Store, MCD  ni duka litakalouza  vinywaji vya aina mbalimbali visivyo na kileo. Litaanzishwa katika eneo  la Buguruni Malapa na kuhudumia maeneo yote ya jirani pamoja na  wateja wanaotoka maeneo nje ya hapo. MCD Provision  mwaka 2013 imeweka  lengo la kuingiza  mapato yanayofikia shilingi milioni 450. ................................................

Mchanganuo huu kamili wenye vipengele vyote kuanzia Muhtasari mpaka makisio ya hesabu zote 3, unaweza ukaupata kwenye kitabu chetu cha MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI au pia unaweza kuwasiliana na sisi tukakutumia wenyewe kama ulivyo kwa Bei ya shilingi, 10,000/=

Peter Augustino

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment