Mariamu
Best Bites, kwa jina maarufu Mam bites ni biashara ya utengenezaji na uuzaji wa
vitafunwa iliyoanzishwa nyumbani katika mtaaa wa Kwa mtogole Manzese
Jijini Dar es salam. Biashara hii imejijengea
umaarufu mkubwa kote katika maeneo ya Kwamtogole na jirani kwa bidhaa zake nzuri za vitafunwa vya aina mbalimbali..................
Mchanganuo huu kamili
wenye vipengele vyote kuanzia Muhtasari mpaka makisio ya hesabu zote 3, unaweza
ukaupata kwenye kitabu chetu cha MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI au pia
unaweza kuwasiliana na sisi tukakutumia
wenyewe kama ulivyo kwa Bei ya shilingi,
10,000/=
No comments:
Post a Comment