MUHTASARI TENDAJI
Kibada Water melon Fruits ni shamba jipya la hekari
2 lililoanzishwa kwa lengo la kuzalisha na kuuza matunda ya tikiti maji yenye
ubora wa hali ya juu jijini Dar es salaam kwa kutumia mbinu za kisasa. Dira
yetu ni kuwa kampuni kubwa inayouza matikiti maji Afrika Mashariki.
...............................................
Mchanganuo huu kamili wenye
vipengele vyote kuanzia Muhtasari mpaka maisio ya hesabu zote 3, unaweza
ukaupata toka kwetu kwa gharama ya shilingui elfu 10,000/=
MAWASILIANO:
Simu/Whatsapp: 0765553030 / 0712202244
No comments:
Post a Comment