Pages

MPANGO WA BIASHARA: KAMPUNI YA ULINZI (NYUKI SECURITY SERVICESS)

MUHTASARI TENDAJI

Nyuki Security Services  ni kampuni itakayowahakikisha wateja wake na mali zao ulinzi wa uhakika. Inatarajjia kuanza rasmi mwaka 2013 chini ya   wamiliki wake, bwana  Silas John na William Wambura; wote  wawili ni wastaafu kutoka  Jeshi la ulinzi la Wananchi wa Tanzania TPDF na Polisi katika  vyeo vya Meja  Jenerali na Sajenti.

 

Kwa mchanganuo uliokamilika wenye vipengele vyote kuanzia Muhtasari hadi makisio yote ya fedha, jipatie kitabu cha MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI au wasiliana na sisi tuweze kukutumia ulipo

Simu/Whatsapp: 0765553030 au 0712202244


Peter Augustino

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment