Pages

SEMINA: KUANDIKA MCHANGANUO WA BIASHARA YA KIWANDA KIDOGO CHA UNGA WA DONA (USADO MILLING)

Kiwanda cha usagishaji nafaka

Kitabu hiki cha kurasa 57 kina mfululizo wa masomo ya semina iliyohusu jinsi ya kuandika mchanganuo wa biashara ya kiwanda kidogo cha unga wa dona. Ikiwa unataka kuandika mchanganuo wako kwa ajili ya kiwanda kidogo mfano wa hiki cha USADO unaweza kujipatia kitabu hiki kama rejea pale utakapokwama au kutojua uandike nini. 

Ukinunua semina hii unapata na mchanganuo wake bure bila kulipia. Nunua tukutumie kwenye simu au kompyuta yako.

BEI YAKE NI TSH. 10,000/=

Lipia kwa namba; 0765553030 au 0712202244

Jina: Peter Augustinio Tarimo

Peter Augustino

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment